Orodha ya wanandoa mashuhuri wanaovaa vizuri na wenye maridadi zaidi

Muhtasari
  • Orodha ya wanandoa mashuhuri wanaovaa vizuri na wenye maridadi zaidi
  • Sio mavazi tu bali huwa wenye mitindo yenye maridadi mapya
kabi
kabi

Kuwa mashuhuri na jambo ngumu na nzuri kwwa wakati mmoja, hii ni kwa sababu unapaswa uwa mfano mwema kwa mashabiki wako.

Katika sekta ya mavazi kuna baadhi ya wanandoa mashuhuri ambao hulimbikiziwa sifa na mashabiki kwa ajili ya mavazi yao.

Sio mavazi tu bali huwa wenye mitindo yenye maridadi mapya.

Katika makala haya tutazingatia wanandoa mashuhuri wakenya wenye mavazi mazuri, na yenye maridadi.

1.Rashid Abdalla na Lulu Hassan

Wanandoa mashuhuri wa Kenya Lulu Hassan na Rashid Abdallah wanaweka malengo kadhaa na picha walizopiga wakiwa kazini wakati wa taarifa zao za wikendi zilizoshirikiwa mwishoni mwa wiki.

lulu 2
lulu 2

Wanandoa hao wa nguvu, ambao wamekuwa kwa ndoa kwa zaidi ya miaka kumi huwafurahisha mashabiki wao kwa kivutio kisichoonekana hapo awali katika mandhari ya mitandao ya kijamii 

2.DJ Mo na Size 8

msanii huyo na mumewe wana hisia nzuri za mitindo.

Mo na mkewe wamekuwa gumzo mjini na mavazi yao rahisi lakini ya hali ya juu.

Pamoja:Size 8 na DJ Mo

3.Kabi Wajesus na Milly Wajesus

Wanandoa, ambao wanashinda polepole mioyo ya wengi, shukrani kwa ushauri wao mzuri wa uhusiano na skiti za ucheshi pia hufanya wana mavazi ya kipekee.

Hisia yao ya mitindo iko kwenye kiwango kingine.

4.Cate Actress na Phil Karanja

Ni wanandoa ambao hawatafuti kiki kutoka kwa mashabiki, bali mavazi na mitindo yao huwa katika kiwango kingine.

5.Diana Marua na Bahati

Lica yao kuwa wanandoa wenye umri mdogo wameuwa wakiwafurahisha mashabiki wao kutokana na mitindo ya mavazi yao.