Muigizaji Nick Mutuma amwandikia mama wa mtoto wake ujumbe wa kipekee

Muhtasari

Muigizaji Nick Mutuma amwandikia mama wa mtoto wake ujumbe wa kipekee

Bridget Shighadi
Image: Hisani

Muigizaji Bridget Shighadi, anasherehekea siku yake ya kuzaliwa siku ya leo, kwa kweli kila mmoja anamfahamu baada ya kuigiza kwenye kipindi Maria.

Ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao wanapenda kuzungumza na mashabii wao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha akiwa mrembo kupindukia , na kujitakia heri njema ya kuzaliwa.

Kwa upande mwingine baba wa mtoto wake Nick Mutuma alimtakia siku njema ya kuzaliwa na kumwandikia ujumbe huu.

"Wacha siku hii iwe kama jua kama tabasamu yako. Furaha ya kuzaliwa @bridgetshighadi na ninakukaribisha kwenye sakafu ya tatu πŸ˜…β€οΈπŸŒΉπŸŽˆ Nisaidie Mama Dua siku ya kuzaliwa ya furaha πŸŽ‰," Aliandika Mutuma.

Hii hapa jumbe za mashabiki;

djmokenya: Happy birthday mama Dua

shaffieweru: More Life…More light en More Blessings to MamaDua @bridgetshighadi

weezdom254: Happy Birthday Mama DuaπŸ™

Yasmeen_saiedi: Happy birthday beautiful 😍😍

jackyvike: Happy Darry Tharry Mama! πŸŽ‰

wickey_black: You are blessed my guyπŸ˜‚πŸ˜‚

Wawili hao wamebarikiwa na mtoto mmoja.