'Wengi walidhani nawadanganya na baba yangu,'Anne Kansiime afichua

Muhtasari
  • Kansiime afichua jinsi wanaume walimuacha kwa kumpenda baba yake
kansiime
kansiime

Mcheshi kutoka Uganda Anne Kansiime kupitia kwenye ukurasa wake wa instgram alifichua jinsi baadhi ya wanaume ambao aliwachumbia walidhani kwamba alikuwa anawadanganya na baba yake.

Lakini sababu ya kufikiria hayo ni ipi? hii ni kwa sababu alikuwa anampenda baba yake sana.

Kulingana na Kansiime wengi walimuacha kwa ajili ya fikira zao,lakini licha ya hayo yote hakuacha kumpenda baba yake.

Huku akisherehekea baba yake siku ya kuadhimisha siku ya akina baba alikuwa na haya ya kuandika;

"Ningependa kufikiria sio msichana pekee anayedaiwa kumpenda baba yao zaidi ya mama yao kukua 🤔 Kweli, namwita baba yangu lollipop ya kijana wangu

Nimekuwa nikifanya hivyo tangu nilipomiliki simu yangu ya kwanza miaka 17 iliyopita, kitu ambacho kilinigharimu mahusiano machache yaliyokua nikikua na watoto wa wanawake wakidhani nilikuwa nikiwadanganya wakati wowote baba yangu ananipa simu za kawaida za kila siku za jioni kuniangalia

Umekuwa mpenzi wangu tangu wakati katika malaria na upendo huo umekua Musigazi tu. Nakupenda baba na endelea kuhesabu baraka zangu

Mbele mbele, mwishowe nilipata mtu mzuri asiye na pimple ba bladipit toleta @skylantagram na yeye tayari ni baba mzuri kwa mtoto wetu," Aliandika Kansiime.

Je ulihadhimisha siku ya akina baba aje?

Mcheshi kutoka Uganda Anne Kansiime kupitia kwenye ukurasa wake wa instgram alifichua jinsi baadhi ya wanaume ambao aliwachumbia walidhani kwamba alikuwa anawadanganya na baba

yake.