'Ananichosha,'Zari amjibu Mama Dangote baada ya kumwambia ampelekee mjukuu wake Tanzania

Muhtasari
  • Zari amjibu Mama Dangote baada ya kumwambia ampelekee mjukuu wake Tanzania

Princess Tiffah ni kifungua mimba wa staa wa bongo Diamond Platnumz na Zari Hassan, ambaye kutokana na picha wanazopakia mitandaoni anampenda baba yake sana.

KUpitia kwa video aliopakia mama Dangote kwenye ukurasa wake wa instagram, Tiffah anaonekana akilia na kumsihi mama yake ampeleke nchini Tanzani kumuona baba yake Diamond.

Baada ya kupakia video hiyo Mama Dangote alimsihi Zari ampelekee mjukuu wake.

ZARI NILETEE MJUKUU WANGU JAMANI," Aliandika Mama Dangote.

Baada ya Zari kuona ujumbe wke Mama Dangote, alimwambia kwamba ana mambo ya kufanya bali Tiffah amemchosha.

"Ananichosha nina kazi zangu uku...," Alijibu Zari.

Wawili hao (Zari na Diamond) waliachana baada ya kuarikiwa na watoto wawili.

Kwenye video hiyo Tiffah anasikika akimwambia mama yake kwamba anataka kuenda Tanzania.

Hisia za Mashabiki

afsaniyonkuru: Jamani mama dangote tunakuomba zari na baba Te warudiane plz mama yetu tunawapenda wakiwa pamoja ❤️❤️❤️❤️❤️

lito2331995: Zari akimchubua huyo mtoto na ukucha atatujua kwann tunaingilia maisha yasiyo tuhusu 😂😂😂😂

echag123: Baba na mama waone mtoto apate raha

nayla_manyota_og: Jamani😢😢 tipher anapenda kwao mzalendo 🙌

thephilp: Na yule wakiume kwan sio wakwako

Hii hapa video hiyo;