- Amber Ray azua mdahalo mitandaoni baada ya madai haya
Baada ya mwanasosholaiti Amber Ray kuthibitisha kwamba wameachana na Jimal Rohosafi kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amesema kwamba kuvunjika moyo huwa kuna msumbua siku mbili ya tatu anakuwa sawa.
Kweli mashabiki, na wanamitandao walithibitisha maneno yake mkewe Jimal kwamba maembe ni ya msimu.
Pia kwenye sekta ya Q na A na mashabiki wake alisema kwamba alilia baada ya kuachwa, bali anaendelea vyema.
PIa alisema kwamba atafuta picha zake na Jimal kwenye mitandao ya kijamii.
"Heartbreak uniweza siku mbili tu,ya tatu narudi soko," Aliandika Amber Ray.
Pia kupitia kwa picha nyingine aliyopakia alisema kwamba hatakata tamaa katika mapenzi heri aache imuue.
"We ainโt giving up na love... Wacha ituue tu๐ ,"
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;
musad5315: Cku hizi atukai sana ๐๐๐๐๐
ayuunialeyki: Mdomo ukiacha ungekuwa na boss moves bt ujinga ndio inakurudisha nyuma
salimamureithi: Ati president of second wives ๐ฎ๐ฎ
susanmaina.kenya: Sawa basi good luck hope u get a serious single man๐๐
884.amina: You should stop hating this lady๐ can't you see you wasting your time๐ huyu dem ni mstrong manze๐