Bibi ana kupenda sana,'Soma ujumbe wake Mama Dangote kwa Tiffah

Muhtasari
  • Mama yake Diamond alionyesha upendo wake kwa mjukuu wake huku akikiri kwamba anampenda sana
  • Tiffah Dangote amehitimu maka 6, na nikifungua mimba wake Diamond na mwanasosholaiti Zari Hassan
Screenshot-from-2020-08-06-10_05_10
Screenshot-from-2020-08-06-10_05_10

Staa wa bongo kutoka Tanzania ameongoza familia na mashabiki kumtakia mwanawe Tiffah Dangote heri njema siku yake ya kuzaliwa.

Mama yake Diamond alionyesha upendo wake kwa mjukuu wake huku akikiri kwamba anampenda sana.

Tiffah Dangote amehitimu maka 6, na nikifungua mimba wake Diamond na mwanasosholaiti Zari Hassan.

Diamond ameonekana kuwa karibu na wanawe ikilinganishwa na wale wengine.

Huu hapa ujumbe wake Mama Dangote;

"Heri njema ukisherehekea siku yako ya kuzaliwa Latiffah Naseeb,mjukuu wa maam Rolls royce, bibi anakupenda sana

❣❣ ANA BURUDIKA NA NYIMBO #IYO KUTOKA KWA BABA YAKE @diamondplatnumz 🦁," Aliandika Mama Dangote.

Hizi hapa jumbe za mashabiki;

mchikirwaibrahim: Mashallah...mungu amkuze vyema miss world😍

lattifah_dangote: We love you so much Bibi happy birthday our only princess😍

iam_the_radicaladyRoho ya simba hbd

shumysharif: Happy beautiful Tiffa kiboko wa shoga yangu bibi love you🎂🎊❣️❣️❣️

bwatamu_senior: Mbona km anatambika mizimu😂😂