Utanipa wajukuu lini? Akothee amuuliza mwanawe

Muhtasari
  • Msanii Esther Akoth maarufu Akothee au 'President of Single Mothers' kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amemuuliza kifungua mimba wake atampa wajukuu lini
  • Hii ni baada ya Vesha kuendelea na masomo yake, mapema mwaka huu Vesha alihitimu masomo yake huku akieka sherehe ya kufuzu kwake
  • Kitu cha maana  msanii huyo amewapa wanawe ni elimu, na ushauri maishani mwao
akoth stylish 1 (1)
akoth stylish 1 (1)

Msanii Esther Akoth maarufu Akothee au 'President of Single Mothers' kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amemuuliza kifungua mimba wake atampa wajukuu lini.

Hii ni baada ya Vesha kuendelea na masomo yake, mapema mwaka huu Vesha alihitimu masomo yake huku akieka sherehe ya kufuzu kwake.

Kitu cha maana  msanii huyo amewapa wanawe ni elimu, na ushauri maishani mwao.

Msanii huyo amekuwa akivuma kwa muda sasa baada ya kumtambulisha mpenzi wake.

Huku akimpongeza mwanawe vesha alikuwa na haya ya kumwambia;

"Fikiria amerudi shuleni πŸ€”πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹ huyu msichana @veshashaillan utanipa wajukuu liniπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ," Akothee alimuuliza Vesha.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

cebbie_koks_nyasego: Alar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no babies please

kelmalope: You made me cry as well 😒

zurih_juma: She’s proving that women can have it allπŸ‘

maureenachieng9: The joy of every parent is to see their children excel in life 😍😍😍

rue.baby: Aiiiii... sasa unataka kumkiss πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

thee_model_jill: Mimi ndio huyo mzunyeπŸ˜‚πŸ˜‚back left

ktheesoft: This soo emotional and adorable 😍πŸ”₯πŸ”₯❀️