Mungu halali!Wakenya wasema baada ya picha za kuhuzunisha za mazishi ya Ndugu wa Embu kuibuka

Muhtasari
  • Wakenya walaani vikali mauaji ya ndugu 2 Embu baada ya mazishi
Image: Hisani

Kenya nzima inaomboleza na familia ya Benson Njiru na Emmanuel Mutura waliouawa.

Ndugu hao wawili walikamatwa na miili yao ikapatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti siku mbili baadaye.

Mazishi yalijazwa na machozi na huzuni wakati familia ilipokuwa inazika ndugu hao wawili.

Hata baada ya wakenya kufanya maadnamano, wenye walitekeleza mauaji hayo hawajitiwa mbaroni.

KUlingana na ripoti ya upasuaji wa mwili wawili hao waliaga dunia kutokana na majeraha ya kichwa.

Kwenye Picha ambazo zimeibuka, mama wa maraehemu alionekana akiwa amejawa na machozi, huku hasifungie machozi yake kutiririka.

Image: Hisani

Baada ya picha hizo kuibuka, wengi walihisi uchungu wa mama wa waili hao na walikuwa na haya ya kusema;

Massawe Japanni: Mungu halaliā€¦ Her tears NOT in vain!! May God avenge this for her

Khan Sean: Mass demo needed... justice for the young souls

Caroline Nekesa: Ifeel the pain as a mother...may God give her comfort &strengh

Irene Mwende: So painful indeed and for sure may the almighty God fight for this family for the battle not ours but his . fight for them my God

Jennifer Mutisya: It's only God who knows her pain sisi tunafeel tu but their is real pain in her,,,,, ewe mungu ndo mfariji let those involved know no peace in their life

Nelly Eraru: Very painful ,eeei this one is unbearable for sure,may those who killed them never have even a single peace in entire life.

Rono Sandra: so painful to burry 2 sons at the same time God give u comfort mum