'Kupenda watoto wangu ni kama kunipenda mara mbili,'Betty Bayo amlimbikizia sifa mpenziye

Muhtasari
  • Betty Bayo amlimbikizia sifa mpenziye
betty
betty

Msanii wa nyimbo za injili Betty Bayo ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao wameendelea na maisha yao baada ya kupena talaka na waume zao.

KUpitia kwenye ukurasa wake wa instagram, amekuwa akipakia picha ya mpenzzi wake bila kuonyesha uso wake.

Siku ya Ijumaa alipakia picha ya mpenzi wake na wanawe na kumwambia kwamba kupenda wanawe ni kama kumpenda mara mbili.

Wanamitadao hawakulaza damu bali walimuuliza ataficha uso wa mpenzi wake hadi lini.

"Kupenda watoto wangu ilikuwa kama kunipenda mara mbili," Aliandika Betty Bayo.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

carol.jonz: Utaficha sura hadi lini

mamamia1538: mi mama Mia nilirogwa na nani, yaani Kuna wanaume serious hivi

julietagithaigaI:  trust in God that one day I will find someone who will love me and my grandchildren

wangeshi254: waah.... kazi kuficha uso ngumu😂

sisterwithvision_: Umetoa wapi mzungu

rosebeth_mwangi: Tuko karibu kuona sura

bigup_1244456: every woman dream ❤️❤️❤️❤️

drucaro: So u keeping it had wedding with all these outs 😂😂🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️