Mchekeshaji YY akashifu mawazo ya watu kuwa wenye rastas ni wezi

Muhtasari
  • Mchekeshaji YY akashifu mawazo ya watu kuwa wenye rastas ni wezi
yy
yy

Mchekeshaji Olever Otieno maarufu YY, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amekashifu vikali mawazo ya wananchi kuwa watu wenye rastas ni wezi.

Haya yanajiri siku chache baada ya wanaume 4 kuuawawa KItengela, na wananchi wakidhani ni wei wa ng'ombe kwa sababu walikuwa na rastas.

YY ni miongoni mwa wahekeshaji ambao wamezidi kutia bidii katika kazi zao hata licha ya janga la corona kuhadhiri asnia ya burudani.

Mwezi uliopiyta YY alivuma mitandoni baada ya kumjengea mama yake nyumba, na kupongezwa na watu.

"Ukiwa na dreadlocks unashikwa wewe ni jambazi, kwa hivyo jambazi akinyoa kipara ameokoka?

Sisi wenyewe ni wahasiriwa wa mfumo wa masomo yetu, kwamba mtu ambaye amenyoa ana heshima na ni mwenye maadili,

Mtoto amenyoa ndio mzuri😎" Aliandika YY.

Ni ujumbe ambao wanamitandao waliuunga mkono na,Haya hapa maoni ya wanamitandao;

arrydefinest: Kuna wezi hatari , wako wamevaa suti , short hair ,wqnapatikana bunge , waachane na sisi

engineer_fabish: Hebu Lea Dredi uwa prove Wrong πŸ˜‚πŸ˜‚

finelensphotography: To eliminate such mentality we need to start allowing locks in our schools. Let there be Freedom of choice.

omwami_comedian: I can't fathom it's a sad state

dee_nick_dee: Tunakaa ni kama hatuko civilised

olgeno_b: Ni tatizo kubwa and this this all over Africa..

southniccur._: Waachane na sisi aki😒😒😒

wanderi75: Ukiwa umenyoa wwe ni mtoto mzuriπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ

jessica_raphael_1: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ WAKO KARIBU KUGEUKIA WAMAMA KAMA UMESUKWA UNANYOLEWA 🀦🀦😹😹