Mungu atulindie penzi letu,' Paula Kajala ashambuliwa na mashabiki baada ya kumuita Rayvanny mumewe

Muhtasari
  • Paula Kajala ashambuliwa na mashabiki baada ya kumuta Rayvanny mumewe
Rayvanny na Paula Kajala
Image: Hisani

Rayvanny alizaliwa tarehe 22 Agosti, 1993 huko Mbeya, Tanzania. Anaadhimisha siku ya kuzaliwa kwake Kenya na Gavana wa kaunti ya Machakos Alfred Mutua.

Pia, Mutua anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo, huku wakiwa wameweka sheerehe na msanii huyo Ole sereni.

Mpenzi wake Rayvanny Paula Kajala,alimwandikia ujumbe wa kipekee na kuomba MUngu alinde mapenzi yao.

Paula Kajala alifahamika sana mitandaoni baada ya kuanza kumchumbia Rayvanny.

Rayvanny alikuwa na uhusiano na Fahyma na walibarikiwa na mvulana wa mtoto, Daylan Vanny. Baadaye waliachan kutokana na  masuala ya uaminifu.

"Leo ni siku muhimu sana kwako wewe mme wangu Mungu atulindie penzi letuHappy birthday my love," Aliandika Paula.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki,wakimshambulia Paula baada ya kumuita Rayvanny muewe

angelmwongeli: Sounds very ironical calling someone ur hubby without evidence just going out eating snacks and eating each other😢poor gurl

cute_ryner: Kwani mulioawana😮ama ni danga lakooo😂😂😂Mutaachana tuh 😂😂😂

mubatham: Yan ndo mume unandoa au una mimba

salimmusa9362020: Wazinzi wasiona ndoa mnahalalisha zinaa ni ndoa muongopeni mungu

estherlambo60: Mmefunga ndoa kanisani. Au unamwita mme wako nyoooo