Muhtasari
- Orodha ya watu mashuhuri waliohudhuria sherehe ya gavana Alfred Mutua
Gavana wa kaunti ya Machakos Alfred MUtua aliadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee.
Mutua aliweka sherehe katika hoteli ya Ole Sereni ili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, wakiwa na staa wa bongo kutoka Tanzania Rayvanny.
Ni sherehe ambayo ilihudhuriwa na familia,mashabiki,watu mashuhuri,wanasiasa na hata wasanii wa humu nchini.
Hii hapa orodha ya watu mashuhuri waliohudhuria hafla hiyo;
Mwanahabari Salim Swaleh
Mwanahabari Trevor Ombija
Mwanablogu Abraham Mutai
Kinara wa ODM Raila Odinga
Mchekeshaji Eric Omondi
Daniel Ndambuki almaarufu Churchill
Mtangazaji Mike Mondo
Lilian Ng'ang'a miongini mwa wengine.