'Ninajifunza vitu vipya kutoka kwake,'Ujumbe wake Karen Nyamu kwa mwanawe

Muhtasari
  • Ujumbe wake Karen Nyamu kwa mwanawe
  • Jambo moja ambalo tunakubaiana ni kuwa Karen ni bora kwa uzazi na ni mama wa kupigiwa mfano

Mwanasiasa Karen Nyamu kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amemwandikia mwanawe ujumbe wa kipkee anaoadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Kwa mujibu wa Karen amekuwa akijifunza vitu vipya kutoka kwa mwanawe na kwamba anampenda sana.

Jambo moja ambalo tunakubaiana ni kuwa Karen ni bora kwa uzazi na ni mama wa kupigiwa mfano.

Huyu anafikisha  miaka 7 leo! Imekuwa safari ya kufurahisha. Katuni ya Kamekua na kajuaji sana. Ninajifunza vitu vipya kutoka kwake lakini simruhusu aione, nikujifanya pia mimi najua😂 Nakapendaaa❤️ ka rafiki mzuri

Naomba umjue Yesu mwenyewe. Neno la Mungu litakuwa taa ya miguu yako. Ataamuru hatua zako. Utakua mwanamke  mwenye ujasiri na nguvu ya kufuata ndoto zako. Amina🙏🏾 Heri ya kuzaliwa mtoto🎁🎂🎊🎈," Aliandika Karen.

Hizi hapa jumbe za mashabiki wakimtakia mwanawe Nyamu heri njema siku yake ya kuzaliwa;

urbannails_salon: Happy birthday princess 👸

blakaende: Na si kanafanana na babake Wah!Nway, a happy birthday to her🥳 🎉 🎂

knight_oh: Happy Birthday "This one". Happy Birthday "Cartoon" and Happy Birthday "Mjuaji" 😂

holydavemuthengi: Happy birthday to her. Bless her.

finding_n.imm.oh: Happy birthday baby girl😍