'Nililala kwa kunguni mwishowe akaniacha,'Wakenya wafichua mambo waliyofanya kwa ajili ya mapenzi

Muhtasari
  • Wakenya wafichua mambo waliyofanya kwa ajili ya mapenzi
sad woman
sad woman

Je kuna mu ambaye alikwambia kwamba kuna mambo amabayo unapswa kufanya kwa ajili ya amapenzi na mengine haupaswi kufanya?

Lakini kuna baadhi ya watu ambao hupitisha mipaka yao kwa ajili ya mapenzi bila ya kufahamu maisha yao ya kesho.

Baadhi ya wakenya walisimulia na kufichua mambo ambayo waliyoyafanya kwa ajili ya mapenzi.

Lakini uhusiano wao ulikwisha, na mapenzi yao yakatokomea mbali.

Nikiwa katika ziara zangu, mwanamke mmoja alinisimulia jinsi aliumwa na kunguni akiwa kwa mpenzi wake, na vile waliachana baada ya kumtendea mambo mengi.

Sio mwanamke huyo pekeyake ilhali baadhi ya wakenya walifunguka;

"Mimi nililala kwa kunguni zikiniuma wiki mzima nikifanya usafi nachemsha maji namwagia kitanda alafu kimtu kinaniambia hakiko tayari kuoa shetani hii."

Baadhi ya simulizi kutoka kwa wakenya ni kama zifuatazo;

Isaiah: So there is this lady tulikuwa tunafanya job pamoja, we fell in 💕, i remember using half of my salary just to treat her in the name of love baadae akapewa transfer…my friend niliachwa hiyo siku…sikuizi mm ni wa hit and run

Monicah: Love Ni ujinga tu …..ata sijawahi elewa Hadi wa leo if it was love or something withcraft …….Mimi na vile huwa mstingy na mwanaume ananiingiza box nakopa doh alafu nampatia ,alafu boyfriend anaanza kujiexplain ati mshahara hawajalipwa for 3 months …..kitu mzuri Ni ati najua kusonga mbele Kama injili…The money was 1000 eeeh thao moja but it pains me nikiifikiria ,ata sijui nilikuwa nimekunywa Nini nikipea hio ngamia pesa

Mburu: Kulala kwa floor tusifanye ngono hadi tuoane then akafanya harusi tena Wakaachana nasinyika kujua nilichinja kuku ikiwa na vifaranga saitani

Cate :  Pia mi nilibaia mwanaume maua ya valentine’s day..akaenda akapea main chick🧐

Snaidah: Wen I was mentally ill I used to give him money support him etc siku niligundua ako na kadem I texted that kadem na hiyo ndo siku niliachwa😂😂😂

Je ni kitu au jambo lipi ulifanya kwa ajili ya mapenzi na mwishowe mkaachana?