'Nitapeza maneno yako ya kutia moyo,'Mchekeshaji Kajairo ampoteza mama yake

Muhtasari
  • Mchekeshaji Kajairo ampoteza mama yake
Kajairo
Image: Maktaba

Mchekeshaji Peter Kaimenyi maarufu Kajairo kupitia kwenye ukuraa wake wa instaram saa chache zilizopita ametangaza kifo cha mama yake.

Kulingana na Kajairo mama yake aliaga dunia  saa saba na nusu alasiri.

Mchekeshaji maarufu wa zamani wa redykulass ametoka mbali katika safu ya ucheshi, akiungana na Churchill ili kuhakikisha kwamba wakenya wameburudika.

"Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi! Mama wa R.I.P hakika nitakukumbuka sana, ucheshi wako, maneno ya kutia moyo, shauku kwa Mungu na kazi haukukoma! Kila mtu alikujua sisi ni nyota wakati wowote walipokutana nawe.

Asante wote mliomuombea, yuko mahali pazuri sasa, anatuangalia pamoja na Malaika !!

Kwaheri Mummy, mwamba wetu !!

Mungu tunakushukuru kwa maisha yake aliyoishi vizuri! Na tunapomlaza apumzike tafadhali ondoa roho yake na utupe faraja na nguvu ya kuendelea!

Bibi Susan Rugaru Mbajo, hivi karibuni tutakutana tena," Aliandika Kajairo.

Hizi hapa jumbe za rambi rambi kutoka kwa mashabiki;

massawejapanni: So sorry Kajairo😒😒

daddyowen: So sorry.. so sorry 😒😒😒 May her soul Rest in peace

mcatricky: Pole sana bro , May her soul Rest Well. πŸ€¦β€β™‚οΈ

ringtoneapoko: SORRY FOR YOUR LOSS BROTHER

terencecreative: Pole saana bro πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

stanelykwambugu: Pole sana kanyairo may her soul R.I.P😒😒😒😒😒😒