Mpenzi wangu aliniacha kwenye madhabau siku ya harusi yetu-Mwanamke asimulia

Muhtasari
  • Mwanamke asimulia jinsi aliachwa na mpenzi wake siku yake ya harusi
sad woman
sad woman

Ni furaha ya kila mwanamke kufunga ndoa na mwanamume wa maisha yake na mpenzi wake hasa baada ya kuchumbiana kwa muda.

Kuna baadhi ya wapenzi ambao huachana baada ya kulipa au kulipiwa mahari na wapenzi wao na safari ya harusi kukatizwa.

Nikiwa katika ziara yangu nilipaana na mwanamke ambaye alifahamika kam Lucy ambaye alinisimulia masaibu abayo alipitia wakati wa harusi yake.

Lakini swali kuu ni je unapaswa kumjua mpenzi wako kwa muda upi, ili umvishe au ukubali kuvishwa pete ya uchumba?

Huu hapa usimulizi wake;

"Mpenzi wangu alinivisha pete ya uchumba baada ya kumjua kwa miezi sita, baada ya miezi 8 alipeleka mahari kwetu, na kisha tukapanga siku ya harusi

Siwezi danganya au kusema kwamba nilikuwa namjua vyema, lakini mambo yalitendeka kwa haraa hadi sikuelewa nini haswa ilikuwa inatendeka maishani mwangu

Siku ya hurisi aliniacha kwenye madhabau na wala hakuja kanisani,  ndio ni lilia lakini kusema ukweli 'nilisonga mbele kama injili' na wala si kutaka kuua sababu yake ya kuniacha kwenye madhabau," Lucy Alieleza.