Kwa malkia wangu,'Ujumbe wake Waihiga Mwaura kwa mkewe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Ujumbe wake Waihiga Mwaura kwa mkewe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
Wahiga Mwaura na Joyce Omondi
Wahiga Mwaura na Joyce Omondi

Msanii wa nymbo za injili Joyce Omondi anasherehekea siku yake ya kuzaliwa hii leo, kupitia kwenye ukurasa wake wa nstagram alimshukuru Mungu kwa umbali amemtoa.

Joyce ni mkewe mwanahabari wa runinga ya Citizen Waihiga Mwaura.

"Kila siku ni zawadi, na leo ninafurahiya kuvuka thamani ya mwaka mzima. Asante Bwana kwa rehema yako ambayo ni mpya kila asubuhi 🙏🏾✨⠀," Joyce aliandika.

Huku Mwaura akisherehekea siku ya mkewe ya kuzaliwa alimwandikia ujumbe wa kipekee, na huu hapa ujumbe wake;

"Kwa malkia wangu !!! Kuwa na siku ya kuzaliwa ya kushangaza @joyceomondi iliyojaa upendo wote na furaha katika ulimwengu huu. Jua liwe nuru juu yako katika mwaka huu mpya. Bora bado haijakuja ... Jaber yangu."

Hizi hapa jumbe za mashabiki;

mashirima_kapombe: Happy birthday @joyceomondi Jaber wa @waihigamwaura

joydoreenbiira: read the last part with your “these are the highlights tone” …. 😃Happiest birthday to Jaber @joyceomondi 😍

olivia.achieng: Your jaber is jaber indeed 😍 Happy birthday to her

producer_kevin: Happy birthday @joyceomondi blessings to you