'Unanikamilisha,'Ujumbe wa Tanasha Donna kwa mwanawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Ujumbe wa Tanasha Donna ka mwanawe anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
Naseeb Junior
Image: Tanasha Donna/INSTAGRAM

Naseeb Junior anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa, alionyeshwa upendo kutoka kwa wazazi wake wawili Tanasha Donna na Diamond Platnumz.

Tanasha kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimlimbkizia sifa mwanawe huku akimuomba Mungu amlinde.

Kulingana na Tanasha alimwambia mwanawe kwamba amemkamilisha, na kwamba hawezi kufikiria kuishi bila yeye.

Huu hapa ujumbe wake;

"Mnamo Oktoba 2, miaka 2 iliyopita, Mfalme alizaliwa. Amor de mi vida. Heri ya Kuzaliwa kwa 2 mwanangu. Ninakupenda  Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe

Unanikamilisha. Nipe kusudi. Mwenyezi Mungu akulinde na akuongoze katika maisha yako yote. Mama anakupenda sana. Baraka yangu kubwa. Tunasherehekea baadaye!"

Hizi hapa baadhi ya jume za mashabiki;

diana_marua: Happy Birthday NJ ❤️❤️❤️

uncle_shamte: TOM KAKA ❤️

sir_justine: Happy birthday my Gee❤️... many more years to him

karun.i.verse: Cutie! 💛✨ Happy birthday King 😊😊

rnbfay: Happy birthday my little star 😍😍😍 May Allah SWT always guide you and protect you babyyy