'Uwezi Jinufaisha na jasho ya mtu,' Mejja asema baada ya kibao chake kutolewa Youtube

Muhtasari
  • Ni kibao ambacho kilikuwa kimepokea watazamaji zaidi ya elfu mia moja kwenye youtube
Mejja
Image: Hisani

Msanii maarufu Mejja amepatwa na pigo kubwa baada ya kibao chake kutolewa kwenye mitandao ya kijamii ya Youtube.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Mejja alishtumu kitendo hicho huku akisema hamna mtu ambaye anaweza jinufaisha na jasho la mtu mwingine.

Ni kibao ambacho kilikuwa kimepokea watazamaji zaidi ya elfu mia moja kwenye youtube.

"Lyric Video Gone!!!! NiKo Bila Words Uwezi JiNufaisha Na Jasho Ya Mtu, YaaNi Ni Opposite Kwangu Mzing Siwachi Kuzidi!!!! GOD ABOVE EVERYTHING," Alisema Mejja.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki.

djjoemfalme: Buda tushadownload 😂 usikue na pressure....Hii kwa mbulu na streets itashika ..👊🏾

nanaowiti: This is REALLY draining. Something has to be done and fast.

swaggiste.versatyle: This person must be close to you. Watch your circle bro