Mike Sonko atoa gari la Limo katika harusi ya Larry Madowo na Edith Kimani

Muhtasari
  • Mike Sonko atoa gari la Limo katika harusi ya Larry Madowo na Edith Kimani
Larry Madowo na Edith Kimani
Image: INSTAGRAM/Larry Madowo

Mike Sonko amejibu kwa namna ya kuchekesha picha za kimapenzi za mwanahabari Larry Madowo na Edith Kimani ambazo zimekuwa gumzo Jumapili hii na wanamtandao kadhaa wakidai kuwa Larry Madowo hatimayeamepata mpenzi.

Sonko aliungana na wanamtandao wengine  katika kurasa zake za mitandao ya kijamii wakisema kwamba itamlazimisha kuzindua tena limo ya harusi ya Sonko na akaendelea kutoa maoni yake kuhusu kukumbatiana kwa Larry Madowo na Edith. Kimani

Huku nikimnukuu alisema;

"Itabidi nazindua upya Sonko Free wedding limo hako kafeeling ka kushikwa hivyo aijuae "mshikwo"."

Mashabiki na wanamitandao waliwapongeza Larry Madowo na Edith Kimani.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

Okebe Okebe: Wasichana wenye pesa wanavaa matambara now back in kenya,Broke girls wamevaa nguo nzuri nzuri na hawana kakitu

Lucy Sian: Congratulations to both of them.

Soffie La Soffy: Wah wenyewe God timing is always the best time.Hope we're going to watch live in CNN

Linason Dominic: Mike Sonko. Aki wewe Sonko you fit in our society fully ... you touch so many lives....God bless you Sir

Andrew Kipkoech Sudi: Love is in the Air. Inakubalika…Zindua Limousine Sonkoree. Blessed Sunday 🙏

Cosmas Bett: Sonko understand about the life of wanainchi Kenya mzima,,,Yu be blessed Mr.sir God is planning something good to you,,,we love you .