Kuwajibika?Hisia tofauti baada ya Eric Omondi kudai kumpachika msanii Miss P ujauzito

Muhtasari
  • Hisia tofauti baada ya Eric Omondi kudai kumpachika msanii Miss P ujauzito
Image: INSTAGRAM// ERIC OMONDI

Mcheshi  Eric Omondi amejipata kuwa gumzo mitandaoni siku ya Jumatatu  baada ya kudai kuwa anatarajia mtoto pamoja na mwanamuziki Miss P.

Kwenye mtandao wa Instagram wasanii hao wawili wamepakia picha inayomuonyesha Miss P akiwa mjamzito huku Omondi akiwa amemshika tumboni.

Akizungumzia picha hiyo, Omondi amedai kwamba walipatana na Miss P miezi mitano iliyopita katika tamasha ambayo alikuwa anafanya na baada ya hapo tamasha wakaamua kushiriki mchezo wa kitandani pamoja.

Mcheshi huyo amesema kuwa tayari amemhakikishia Miss P kuwa atawajibikia mtoto aliyebeba huku akidai kuwa watoto ni baraka kutoka kwa Mungu.

Ni picha ambazo zimeibua isiaza tofauti kati ya watu mashuhuri na wanamitandao.

Swali kuu ni je Msanii huyo anatafuta kiki, kama vile wasanii wengine hutafuta ili nyimbo zao zivume.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

jacquemaribe: Responsibility? @catewamaribe come I can't speak 😂😂😂 7 years of responsibility

eddiebutita: Lakini Mnararuana Vibaya Hii Nairobi

jalangoo: Mimi utaniua sikumoja bro....waaaa

willisraburu: Lakiniiii yawaaa

notiflow: Mapemaa 😹

mainawakageni: Eish! "Whatever happened, happened." ...may God bless y'all. Congratulations!!!!!

terencecreative: Ngamwaya

holydavemuthengi: Gooooaaaaal.

akotheekenya: Omondi iwachoni what happened happened ,periodit