- Daddie na mkewe walibarikiwa na mtoto wao pili mnamo Agosti mwaka huu
Muigizaji maarufu Martin Githinji aka Daddie Marto na mke wake Christine Koku Lwanga kwa mara ya kwanza wamefichua uso na jina la mwana wao wa pili .
Siku ya Jumatatu, wawili hao kupitia kwenye kurasa zao za Instagram kushiriki picha za mtoto wao na kumtamulisha kwa ulimwengu.
"Muda mrefu wa kuishi mfalme ๐ค๐ค Kukutana na Franklin Rey, kijana ambaye mmekuwa kumkimuombea, amesimama katika pengo. Tumejitahidi kidogo na uamuzi lakini aliamua kuwa ni haki tu kukutana na yeye ambaye mmekuwa mkimuombea.
Pata shukrani kutoka @manapatau @daddiemarto @koku_Lwanga @ Maombi ya Maombi. Anafanya vizuri na tunamshukuru Mungu na ninyi nyote ambao walisimama nasi! Asante!, "Inasoma chapisho kutoka kwa wanandoa hao.
Daddie na mkewe walibarikiwa na mtoto wao pili mnamo Agosti mwaka huu.
Hizi hapa jumbe za wanamitandao;
phil_director: Amazing๐๐๐๐๐๐๐๐ Maskio ndio hatuoni๐ฎ...@daddiemarto trademark bana๐๐
mashirima_kapombe: Aaaawwww ๐๐๐๐ soooo cute! Mungu ambariki na awabariki hata zaidi kutokana na makuu atakayofanya Franklin
fitness.bystephanie: Awwww he's so cute๐๐ aendelee kubarikiwa. God bless you baby. ๐๐พ
nickiedanieofficial: Wow so cute congratulations bro๐
curvyvirgo_: Oh my goodness he's so cute and precious๐๐๐๐ Welcome to Instagram Franklin!๐