'...moyo wangu unampenda,' Mhubiri Lucy Natasha asema baada ya kuvishwa pete ya uchumba

Muhtasari
  • Wakenya wampongeza Lucy Natasha baada ya kuvishwa pete ya uchumba
  • Hii ni baada ya kuvishwa petet ya uchumba na mpenzi wake, kitu ambacho kimeinua mdahalo mitandaoni
Image: Rev Lucy Natasha/INSTAGRAM

Lucy Natasha amewaacha wakenya  wakimsifu kwenye mitandao ya kijamii kwa wakati mwingine.

Hii ni baada ya kuvishwa petet ya uchumba na mpenzi wake, kitu ambacho kimeinua mdahalo mitandaoni.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Lich alipakia pcha za hafla hiyo, huku akidai kwamba amempata ambaye moyo wake unampenda.

"Nimempata ambaye moyo wangu unampenda," Aliandika Natasha.

Baadhi ya mashabiki walimpongeza huku wengi wakitaka kujua kuhusu mchumba wake.

Na hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

shiruwagpofficial: Congratulations 👏🏽 🎊 Rev. You're Blessed 🙌

evelynwanjiru_: Wow congratulations Rev... @revlucynatasha 👏

munalove100: Mama kwenye wale maids Naomba nafasi yangu isikosee 😂

kopano_grace: Congratulations women of God ❤️🔥

doorayswambo: Congrats woman of God ❤️ I'm so happy for you

adaehimoses: Congratulations woman of God❤️

isaiahlangat: Congratulations @revlucynatasha 🥳 👏

aliyafaith001: ❤️❤️❤️❤️ i love you Ma ❤️❤️ ❤️ congratulations