'Walifanyia ngono kwenye gari langu,'Dereva wa texi asimulia

Muhtasari
  • Madereva wa texi huona na kupitia mengi wakati wamo katika kazi yao, haswa kwa wale wanafanya kazi usiku

Tumekuwa tukiwakashifu sana na kuwakosoa endapo wamefanya makosa, lakini hamna mtu abaye amewahi uliza changamoto ambazo wanapitia wakiwa kazini.

Madereva wa texi huona na kupitia mengi wakati wamo katika kazi yao, haswa kwa wale wanafanya kazi usiku.

Huku nikiwa katika ziara yangu nilipatana na dereva aliyefahamika kama Abednego ambaye alinisimulia jinsi wateja wake wawili walifanyia ngono katika gari lake.

"Ilikuwa wikendi ilyopita ambapo niliamua kufanya kazi hadi usiku, sio kawaida yangu lakini sikuwa nimefanya kazi siku nzima

Nilipata waeja wawili ambao waliuwa walevi mwanamume na mwanamke, ambao baada ya muda mfupi walifanyia ngoo kwenye gari langu na kuacha uchafu

Mwanamume huyo alikuwa amekomaa ilhali mwanamke huyo hakuwa amekomaa vile, kwa kweli huwa tunapitia changamoto nyingi, lakini wengi huona tu makosa yetu kama madereva wa texi

Sio wote hufanya makosa lakini sisi sote huwa tunaekelewa lawama," lieleza Abednego.

Je ni changamoto zipi ambazo huwwa unapitia katika kazi yako?