Yale watu wengine wanafikiria kukuhusu hayana maana-Ushauri wa Esther Musila kwa mashabiki

Muhtasari
  • Musila na Guardian walifunga pingu za maisha, huku harusi yao ikihudhuriwa na jamaa na marafiki wa karibu
Esther Musila
Image: INSTAGRAM

Mkewe msanii wa injili Guradian ngel, Esther Musila kwa mara nyingine amewapa mashabiki wake ushauri jinsi ya kuishi maisha yao.

Kulingana na Esther kila mtu anapaswa kuwa na imani, na kuambua anapotoa nguvu zake na atie bidii katika uwezo huo.

Aidha Musila amesema kwamba kile watu wanafikiria kukuhusu hakina maana.

"Kuwa na imani, jiamini na yale ambayo wengine wanafikiri hayatakuwa na maana. Tambua mahali unapopata nguvu zako, na uguse katika uwezo huo," Esther Aliandika

Musila na Guardian walifunga pingu za maisha, huku harusi yao ikihudhuriwa na jamaa na marafiki wa karibu.

Baada ya ujumbe wake mashabiki wake walitoa hisia tofauti, hizi hapa baadhi ya hisia zao;

bonke.reinhard.92: Yes self worth and deep belief in ones own somebody'ness. God Bless

kinyuambae5: Very, true,set,urself,free,from,other, people's, thinking of you

blessinghairtech: 🙌🔥you can say that again Mrs Omwaka