Siku ya Kiswahili duniani: Shairi kuonyesha urembo wa lugha ya Kiswahili

Kitendawili cha huba nimekitega, Nafasi nakupa ukiteguwe Tabu Tenzi.

Muhtasari

• "SAFARI YA HUBA SISITISHI", ni shairi la mapenzi lilotungwa na Davis Ojiambo kudhihirisha utamu na urembo wa lugha ya Kiswahili, dunia inapoadhimisha siku ya Kiswahili duniani. 

Image: VICTOR IMBOTO