- Mashabiki wamuonya Bahati dhidi ya kumkejeli Khaligraph
Msanii Bahati amekuwa akivuma kwa muda sasa baada ya kupakia video akivuta sigara kwenye ukurasa wake wa instagram.
Siku ya Jumanne msanii huyo alitoa kibao kipya ambacho kinafahamika kama 'Fikra za bahati'.
Ni kibao ambacho kiko miongoni mwa vibao kaika albau atakayo toa msanii huyo mwezi huu, pia katika kibao hicho amewafokea wasanii wenzake kama Khaligraph JOnes,ringtone,Daddy Owen Octopizzo miongoni mwa wengine.
Baada ya Jones kuona kibao hicho alimjibu Bahati na kumwambia awache Bhangi kwani ana kiherehere nyingi.
"Afadhali America Watu si Wakonda Kama Akina @bienaimesol , alafu Naskia @bahatikenya ameanza Bangi na Sigara ameanza Kurap matusi, punguza Iyo Bangi baba wacha Kiherehere. #RESPECTTHEOGS" Aliandika Jones.
Pia mashabiki walimuonya Bahati dhidi ya kutomheshimu Jones kwani akicheza atamchapa.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
_young_.kartel: Bahati umeanza bangi๐๐๐๐๐๐๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎutachapwa na omollo usahau diana๐๐๐๐
violajoan32: ๐๐๐๐ umeanza kua sijui nini
official_kathode: Ommolo ni manyama tuu๐๐๐mwaambie kuuunga tliachia watu wa wrestling hii muziki aitaki nguvuu๐๐๐
mary_rey_wangari: Moshi kidogo unajiskia gangster
jfamkenya: Sawa Baba wa kambo!!! ๐๐๐๐ wueeh! Hapo kwa kanga ๐ nayo umevisha the right person! ๐๐
paulngarega: The audacity of this child ๐๐