'Hii ndio tabia yake,'Mike Sonko akashifu spika Lusaka kwa 'kuruka mimba'

Muhtasari

Mike Sonko akashifu spika Lusaka kwa 'kuruka mimba'

Mwanamke mmoja alifika mahakamani kumshtaki spika wa seneti, Ken Lusaka, kwa kutelekeza anayedai kuwa mwanawe ambaye hajazaliwa.

Mwanamke huyo alimtaka spika kumkubali mtoto huyo kuwa wake na kuwajibika katika shughuli zote za uzazi.

Kulingana na wakili Danstan Omari, Lusaka amekuwa na uhusiano wa karibu na mwanamke huyo na wamekuwa wakishiriki katika tendo la ndoa kuanzia mwaka wa 2018.

Baada ya habari hizo kuvuma mitandaoni, gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko, amekashifu kitendo cha spika huyo na kudai kwamba hiyo ndio tabia yake.

Sonko alionekana kugadhabishwa na kitendo cha Lusaka.

"Inawezekana aje spika mzima kukula dry fry akishaskia utamu wa nyama kwa nyama anaruka msichana wa wenyewekwa sababu yeye ni spika. Na hii ndio tabia yake. Shame on you Ken Lusaka," Aliandika Sonko.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao

Quinton Muema: Dunia ni ngumu...

Magufuli Benjamin · : Tuliagree hii kitu ni tamu. This is where man's wisdom buried alive 😢

Juddie Junior: Watu hupata wapi connections walai...Mimi hata leave alone MCA sijawahi jikuta nimekatiwa hata na village elder�

Evergreen Kwambis Ntambo: Utamu walikula ata wewe uwesi waja mwesimiwa but kabla ya kufikia hapo uwesi fikilia Kwanza walisema the teacher is the best experience which experience Lusaka alitumia coz ni speaker