Nimechoka,nataka tu kuomoka-Amber Ray

Muhtasari
  • Mwanasosholaiti Amber Ray kwa muda sasa amekuwa akivuma baada ya kupigana na mke mwenza wake Amira
  • Tangu kuolewa kwake Amber Ray hajakuwa akiskizana naye kwa saabu tofauti
Amber Ray
Image: Hisani

Mwanasosholaiti Amber Ray kwa muda sasa amekuwa akivuma baada ya kupigana na mke mwenza wake Amira.

Tangu kuolewa kwake Amber Ray hajakuwa akiskizana naye kwa saabu tofauti.

Kupitia kwenye ukurasa wake w instagram mwanasosholaiti huyo alisema kwamba amechoka kulazimisha mambo kitu ambacho anataka sasa ni kuwa tajiri.

"Anything na force hii life ni kuomoka tu.... anything else sina nguvu, I’m exhausted 🤣," Aliandika.

Kulingana na mashabiki wengi ni kama kuna taabu katika ndoa yake.

Hizi hapa hisia na jumbe za mashabiki;

louischege: Unaomoka na pesa ya wenyewe sio kibiz Iyo huwezi Ata sifia watu

nassrah_qarsim: I can smell trouble in Paradiso

mustaphar_abu: Exhausted Adi kwa Jimal ?? 😂

mosesmusiemi: Ukiomoka usisahau wenye watakuzika...watumie kakiru

givens_njoki: Aki sasa kama hujaomoka sisi wengine tutasema nini

nyaboke.asnath.5: Tafuta yako kamba babe😂😂 ya wenyewe ni sumu