'Mbona aniue jamani',Muigizaji Inspector Mwala azungumza baada ya habari ameaga dunia

Muhtasari
  • Muigizaji Inspector Mwala azungumza baada ya habari ameaga dunia
Screenshot_from_2017-06-24_11_03_21
Screenshot_from_2017-06-24_11_03_21

 Sio mara ya kwanza habari kutokea kwamba Muigizaji Davis Hezron Mwabili maarufu inspector mwala ameaga dunia.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook, alikashifu hbari hizo huku akishindwa kwanini mwanamitandao huyo alitaka amuue ilhali yuko hai.

"Si mhukumu, lakini mbona aniue," Alisema Inspector Mwala.

Mnamo mwaka wa 2018, Mwalia alihusika katika ajali ya barabara ambapo wengi wa mashabiki wake walidhani kuwa ameaga dunia

Ajali ilitokea wakati alipoteza udhibiti wa Lexus yake wakati alipokuwa akiendesha gari kutoka Nairobi akienda Machakos na kusababisha gari kugonga chapisho.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

Kephar Wepukhulu Junior: Uyo c akamatwe Tu n aseme Alickia wapi? Au aliona wapi

Leaftie Ke: Crazy Kenya😭😭😭I wonder na watu wengi kutumia akili inakua shida,mwala you will live long adi washagae🙏mungu mbele

Daniel Munguti: Not cool at all I think the government should start taking action against such

Daniel Poghisho: Leave that frustrated idiot ameshindwa na msisha hadi anataka wengine wafe atapata kifo yake mwenyewe shindwe kabisa

Grace Sigira: Very wrong you can joke with death if you have not lost a loved one.11/2