Wasanii,watangazaji wa Radio Africa wamtakia Massawe Japanni heri njema ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Wasanii,watangazaji wa Radio Africa wamtakia Massawe Japanni heri njema ya kuzaliwa
Massawe Japanni
Image: Instagram

Huku akisherehekea siku yake ya kuzaliwa mtangazaji wa Radiojambo Massawe Japanni amepokea upendo kutoka kwa wasanii na watangazaji wenzake wa Radio Africa.

Wengi wao walimtakia maisha mema na marefu yenye upendo wa Mungu.

Miongoni mwa wasanii waliomtakia heri njema ya kuzaliwa ni pamoja na, Namelss,Nadia Mukami,Masauti,Sanaipei Tande,Mejja wasanii wa bendi ya muziki ya Hart the band miongoni mwa wasanii wengine.

Kando na hao Mumewe Massawe, Tom Japanni alimzawadi maua ya kipekee ambayo alimshukuru kwa upendo wake.

Hii hapa video ya watangazaji na wasanii ho wakimtakia heri njema ya kuzaliwa;

Mejja Mgenge Nameless Nadia Mukami Masauti Sanaipei Tande #Kidum

Posted by Radio Jambo on Tuesday, July 27, 2021