Betty Kyallo amwandikia mpenzi wake ujumbe mtamu anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Betty Kyallo amwandikia mpenzi wake ujumbe mtamu anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
betty 1
betty 1

Uvumi umekuwa ukienea sana mitandaoni baada ya madai kwamba mwanabiashara Betty Kyallo na wakili Nick Ndeda wanachumbiana.

Haya yalifichuliwa na mwanablogu Edgar Obara, huku Betty akiyathibitisha leo baada ya kumwandikia Nick ujumbe wa kipekee anposherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Ni wazi kuwa Betty ana mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake wa sasa;

"Kwa Mfalme @ nick_ndeda Happy birthday mpenzi๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰. Wewe ni Mkarimu, Mpole, asiye na ubinafsi, Mpenzi, unamuogopa Mungu,

Anawajibika lakini bado ni mcheshi unaona kila kitu kizuri ndani yangu na Wewe unamleta msichana mdogo ndani yangu! Namshukuru Mungu Kwa Ajili Yako. Baraka kwako. Wewe ni G.O.A.T. Wacha tusherehekee Wakili huyu wa โค๏ธโค๏ธ," Aliandika Betty.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wake;

bienaimesol: Mtu na mpenzi wake ๐Ÿ˜

weezdom254: Watu wapendane na walambane

i.am.sonnia: Shikilia apo uyu usiwache

chriskirwa: โœŠโœŠโœŠ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅHappy Birthday @nick_ndeda

blessedsarahmwangi: Happy birthday Nick

aukobenter: Baaaas Edgar is fixing relationships in Kenya, wanawake wanafichwa endeni Kwa Edgar ,a man must claim you publicly

mcjacci: Happy birthday honey wa Betty