Brown Mauzo achorwa tattoo ya jina la mpenzi wake kwenye mkono wake

Muhtasari
  • Brown Mauzo achorwa tattoo ya jina la mpenzi wake kwenye mkono wake
Image: INSTAGRAM//VERA SIDIKA

Wanandoa wa nguvu Brown Mauzo na Vera Sidika wamekuwa kwenye vichwavya habari tena, wakati huu Brown Mauzo anapanda jukwaa baada ya kwenda kuchora jina la Vera Sidika kwenye mkono wake.

Wawili hao wanatarajia mtoto wao wa kwanza baada ya Vera Sidika kusema na kudai kwamba ana ujauzito wa mpenzi wake Mauzo.

Hatua ya Brown Mauzo kuchora jina la Sidika kwenye mkono wake kumesababisha mdahalo mitandaoni haswa kutoka kwa jinsia ya kiume ambao wamepuuza hayua yake na idadi kubwa ya wanaume walikasirishwa na uamiuzi wa Mauzo.

Kupitia kwenye ukurasa wake Vera wa instagram alimshukuru Mauzo kwa upendo wake na kumwambia kwamba anampenda zaidi, kwa hatua yake.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

moana0054: Angeweka tuu Vera mkiachana aongeze Aloe hapo mbele tuu Sidika itamsumbua aki 😢

_silva_ke_: Nataka kutattoo ya bae hapa hivi kwa shigo karibu na ile mshipa inaitwa vena cava any advice guys😂

nakhulo_001: Kweli this is a beach boy

navilencequeens: Place imeekwa akivaa nguo haitaonekana mkiachana kazi rahisi😂😂

shi_mary92: Alafu mkikosana ataongeza tu 'A' ikue SAIDIKA

njogu_wa_nganga: Hii ni level gani ya relationship wakuu

shantelsabrina4: Aki mapenzi wewe nikikushika😢

Hii hapa video yake Mauzo akichorwa tattoo hito;