Hongera!Msanii Rayvanny apongezwa na mashabiki baada ya kufungua hoteli ya kifahari Tanzania

Muhtasari
  • Msanii Rayvanny apongezwa na mashabiki baada ya kufungua hoteli ya kifahari Tanzania
rayvanny
rayvanny

Msanii kutoka Tanzania Rayvanny amefungua hoteli ya kifahari Tanzania, msanii huyo anafahamika kwa bidii yak katika kazi yake ya muziki, lakini amonekana kuinia katika biashara.

KUlingana na ujumbe aliopakia kwenye ukurasa wake wa instagram, hoteli huo hautakuwa tu moja bali nyingi.

"Karibu katika makazi yangu #CHUIโ€™s @havanna.tz !!!! mhali pazuri pa kifungua kinywa chako, chakula cha mchana na jioni umeanza na hii lakini zitakua Chain sehemu tofauti come for #Shisha #alldrinks #Bites #Cakes #coctails #moctail etcnjoo ufurahie nasi#classicmallmbezibeach Masana @havanna.tzamani na furaha," Aliandika Rayvanny.

Wakati wa ziara yake nchini kenya msanii huyo alisema kwamba siri ya mafanikio yake ni kufanya kazi kwa bidii, kumuomba Mungu na kuheshimu kila mtu.

Baada ya wanamitandao kuona ujumbe au tangazo lake walimtumia jumbe za pongeza na hizi hapa baadhi ya jumbe hizo;

diamondplatnumz: Money Talk!โ€ฆ๐Ÿ’ฐ

_esmaplatnumz: hongera sana dogo

officialinnossb: Boss moves๐Ÿ”ฅ๐Ÿš€๐Ÿš€

perrybenson360: Weee congratulations we cal it Lanes๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘ God is good to you

clesmata_01: Kumekucha mtatutesa tusio na hela๐Ÿ˜ข