'Nimepitia mengi wacheni niringe kwa amani,'Amber Ray awaambia wenye chuki

Muhtasari
  • Amber Rayamekuwa akitumia ukurasa wake wa instagram ili kuwasiliana na mashabiki, huku akipakia picha za kipekee kwenye mitandao hiyo
Amber Ray
Image: Hisani

Amber Rayamekuwa akitumia ukurasa wake wa instagram ili kuwasiliana na mashabiki, huku akipakia picha za kipekee kwenye mitandao hiyo.

Aliwashauri wananchi kushukuru kwa zawadi ya uzima. pia alifichua kwamba amepitia mengi, na kama wenye wivu wameona akiringa wanapaswa kumuacha aringe kwa amani.

Pia alisema kwamba kuna wale baadhi yao wamekuwa wakidhani ana kiburi, lakini kama wanaona akiwa hivyo wanapaswa kumuelewa.

Mashabiki waliendelea kutoa maoni yao juu ya jambo hilo.Wengine walimsifu kwa mtindo wake wa kushangaza.

"Enyewe nimetoka mbali ...mkiona naringa wacheni tu niringe kwa amani ...I deserve it."

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

phoinahaircollection: Ringa mpenz ❤️❤️❤️

moshi_ya_zion_train: Na hukai kutoka mbali😂😂ama unasema Kitui😂

mr_mombasa: Our queen😂😂😂Ukinipea siendi kutangaza

jamaljulius254: A gal toto,jaber, aswito😂😂Ringa waseme wababa wanakupenda! Ringa waseme unaosha dolars,euros and bitcoin he he

fidecole88: Don’t ever seek permission from anyone to be happy,,do u be u for u gal.alaaa! Umebarikiwa tena sana amberay.💕 make use of your money