Maajabu! Mwanamke akiri kwamba ameruhusu mumewe kulala na mama yake

Muhtasari

•Anasema wakati hajisikii kufanya tendo hilo, anafurahi kuwa mama yake ndio anamsaidia kwa kulala na mume wake.

•Hata hivyo amesema si mama yake pekee ambaye anafanya ngono na mume wake, hata dada yake pia mara nyingine huwa analala mume wake.

Image: GETTY IMAGES

Mwanamke mmoja amebainisha kuwa yeye na mama yake wanalala na mwanaume mmoja na hakuna tatizo, jambo ambalo limezua gumzo mtandaoni.

Madi Brooks anaeleza jinsi anavyoishi na mume wake nchini Marekani, kupitia video ya TikTok,

Anasema wakati hajisikii kufanya tendo hilo, anafurahi kuwa mama yake ndio anamsaidia kwa kulala na mume wake.

Hii ina maanisha kuwa huu ni uhusiano wa wazi ambapo wanaweza kubadilishana wenza katika sherehe na shughuli mbalimbali.

Kawaida uhusiano wa wazi, wapenzi huwa wanakubaliana kuhusiana na watu wengine bila kuficha.Wanaseza kuwa pamoja au kila mtu kivyake.

Lakini kwenye video hiyo, Madi anasema: "Mimi na mama yangu tunafurahia na tumekubaliana,

Unajua kwanini? Kwasababu nisipokuwa na hamu najua anakuwa na mama yangu.

"Mimi ndio mke wa aina hiyo.

"Ninamuachia mume wangu siku kadhaa anakaa na mama yangu katika kila wiki." alisema.

Hata hivyo amesema si mama yake pekee ambaye anafanya ngono na mume wake, hata dada yake pia mara nyingine huwa analala mume wake.

Na anakubali ili kumfurahisha mume wake.

 

Je, waweza kubali haya yafanyike kwa ndoa yako?