- Kulingana na Amira anataka kujifurahisha kwani awali ameteseka sana
Amira ni mmoja wapo wa watu mashuhuri ambao, huwapa mashabiki wao ushauri na motisha ya kuendelea na maisha yao.
Amira alivuma sana mapema mwaka huu baada ya kupigana na aliyekuwa mke wa pili wa Jimal, Amber Ray.
Licha ya drama hiyo yote JImal alimrudia mkewe, na hata kumuomba msamaha kwa yale alikuwa amemtendea.
Amira ambaye yuko nchini Tanzania, amepakia ujumbe kwenye ukuras wake wa instagram na kuandika ujumbe uliozua mjadala mitandaoni.
Kulingana na Amira anataka kujifurahisha kwani awali ameteseka sana.
"๐ก๐ถ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฒ๐ป๐ถ ๐๐ ๐บ๐ถ ๐ป๐ถ๐ฒ๐ป๐ท๐ผ๐,๐ต๐๐ธ๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ฎ๐ป๐ถ ๐ป๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ฒ๐๐ฒ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฒ๐ป๐ถ ๐๐ ๐ป๐ถ๐น๐ฒ ๐ฏ๐ฎ๐๐ฎ๐ข," Aliandika Amira.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
safi_roba12: Badoo haujatuambia asanti kwa kupiga watu vita๐๐๐
lyne_de_la_vee: Kula mama ,nyofoa bila haya๐๐๐
amina_sirayon: Enjoy kabisa mama... Kamati tulingoja u address the nation , tulipigana vita sanaa on urbehalf๐๐
njoroge6055: Piga sherehe mama kabisa
precous_gyal: You deserve itโค๏ธ
faithmuange: Usijaribu ku postpone enjoyment mama. Enjoy!