Hisia tofauti baada ya Jackie Matubia kuthibitisha anamchumbia muigizaji mwenzake Madiba

Muhtasari
  • Hisia tofauti baada ya Jackie Matubia kuthibitisha anamchumbia muigizaji mwenzake Madiba
Jackie Matubia AKA Nana
Jackie Matubia AKA Nana

Nana ni muigizaji mwenye vipaji, ambaye amekuwa mada ya vyombo vya habari vya kijamii kwa muda sasa, mimba yake imeinua mengi ya nani ambaye angeweza kuwa baba wa mtoto wake wa pili.

Mitandao ya kijamii imewaka moto baada ya muigizaji huyo kufichua kwamba wawili hao ni kitu kimoja na kwamba Madiba ndite baba wa mtoto wake.

Madiba ni muigizaji. Jina lake halisi ni Blessings Hugo,kwa sasa anaigiza kama muigizaji mkuu katika kipindi cha Zora kinachopeperushwa kwenye runinga ya Citizen.

Kwa bahati mbaya, katika kucheza yeye pia anajibika kwa mimba ya Nana. Leo waliweka picha pamoja kusafisha mashaka, sasa imethibitishwa kwamba wawili hao ni wapenzi.

Hii hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

millychebby: Finally congratulations fam @blessinglungaho @jmatubia to loootttss of love ,marriage is a beautiful thing πŸ’œ

mrseedofficial: Aaaawwww congratulations to you two πŸ–€πŸ–€ @jmatubia

faigh_empress: Ngoja Madiba si kwa zora tu

carennyb: Yesssss congratulations,nlijua tu ni Madiba πŸ’“

its_wangaremwangi: It’s never too late to find real love and happiness ❀️❀️❀️

mech1484: Terence ndie anaeza twambia kaa ni ukweli ama ni kuactπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.... congratulations and happy valentine's😍😍