Aliyekuwa mpenzi wake Harmonize atarajia mtoto wa pili

"Nianze Kwa kusema Bismillah Maana Uzito Wa Maneno Unahitaji Amani ya Allah kinywani mwangu

Muhtasari
  • Mitindo pia alimshukuru Mungu kwa baraka nyingine, huku akimwambia mwanawe wanamsubiri, na kumpenda
Image: richmitindo/INSTAGRAM

Mwigizaji waTanzania na aliyekuwa mpenziwe Harmonize, Jacqueline Wolper na mpenziwe MItindo wanatarajia mtoto wao wa pili pamoja.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram,Mitindo alitangaza habari hizo njema kwa mashabiki.

Mitindo pia alimshukuru Mungu kwa baraka nyingine, huku akimwambia mwanawe wanamsubiri, na kumpenda.

"Asante Mungu kwa hiii zawadi nyingine, Wakati tulipofikiri kwamba tumebarikiwa Mtoto wa Kwanza ajabu Mungu Kaonyesha Miujiza Yake nakutupa furaha nyingine nasubiri kwa hamu ujio wako, karibu sana mwanangu, Mama ako Anakupenda sana, Pia mim na Kaka ako maombi yetu yapo juu yako 🙏 @wolperstylish @mitindojr."

Mitiindo alipakia picha nyingiine akiwa na Wolper na kussema kuwwa;

"Nianze Kwa kusema Bismillah Maana Uzito Wa Maneno Unahitaji Amani ya Allah kinywani mwangu, Nina furaha Sana Ninaposhika Tumbo lako nanivyomsikia mwanangu nikili kusema hili Tumbo lako limetunza thamani kuliko thamani zinazomilikiwa na worldBank @wolperstylish."