'Lala salama,'Mwigizaji Njoro aomboleza kifo cha nyanya yake

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwigizaji huyo aliwatangazia mashabiki wake habari hizo za kuhuzunisha.

Muhtasari
  • Njoro alifahamika sana baada ya kuingiza katika kipindi cha Papa Shirandula kilichokuwa kinapeperushwa kwenye runinga ya Citizen

Aliyekuwa mwigizaji wa kipindi cha Papa Shirandula, Kenneth Gochoya almaarufu Njoroge amempoteza nyanya yake.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwigizaji huyo aliwatangazia mashabiki wake habari hizo za kuhuzunisha.

"Inahuzunisha kuwa umeenda, miaka 103 is nyongeza ya kutosha, mke wangu,shosho wangu ameenda uwa na muumbaji wake,lala salama hadi tutakapokutana,"Njoro Aliandika.

Mashabiki walituma jumbe za rambirambi na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

shaniqwa_karishizzo: Bro my sincere condolences to you and your family she lived a good life ☺️☺️ we celebrate her life

bura_rated: My sincere condolences🙏🏾.May her soul rest in peace🕊

wairimu_anney: May her soul rest in peace🙏🙏. May the Lord comfort you all

kuha_miss: 😢😢May shush soul rest in peace

johngitema1: It's well broo polenii man

Njoro alifahamika sana baada ya kuingiza katika kipindi cha Papa Shirandula kilichokuwa kinapeperushwa kwenye runinga ya Citizen.