Kibao cha wiki, Diamond azuzua mashabiki kwa kibao 'Waah"

Muhtasari

• Kibao 'Waah' kimezuzua mashabiki wa bongo.

• Alifanya kibao hicho kwa ushirikiano la Koffi Olomide.

Msanii Diamond. (Picha:HISANI)
Msanii Diamond. (Picha:HISANI)

Msanii wa bongo nchini Tanzania na ambaye ngoma zake zimenata nyoyo za mashabiki kanda ya Afrika mashariki ametikisa tena anga za muziki kwa kibao chake kipya 'Waah' alichotowa kwa ushirikaino na staa wa rhumba Koffi Olomide.

Uwanja ni wako, toa maoni kuhusu ngoma hii mpya, bado video hijatoka lakini tayari inatesa anga.