Kibao cha wiki:Tazama kibao kipya cha msanii Nameless na Wahu kimeweza au la

Muhtasari
  • Tazama kibao kipya cha msanii Nameless na Wahu
  • Wawili hao wameuwa kwa ndoa kwa zaidi ya mika kumi, na wamebarikiwa na watoto wawili.
  • Wasanii hao wametoa vibao ambavyo vimependwa na mashabiki wao, huku wakizidi kutia bidii katika kazi yao.
Nameless na Wahu
Nameless na Wahu
Image: Hisani

Msanii David Mathenge maarufu Namelss na mkewe msanii Wahu Kagwi, wamekuwa wakivuma kwa muda baada ya wawili hao kuja pamoja na kuanza kushirikiana katika usanii wao.

Wawili hao wameuwa kwa ndoa kwa zaidi ya mika kumi, na wamebarikiwa na watoto wawili.

Wasanii hao wametoa vibao ambavyo vimependwa na mashabiki wao, huku wakizidi kutia bidii katika kazi yao.

Katika kibao cha wiki tunatazama kibao cha Nameless na Wahu wametoa kibao ambacho kinafahamika kama 'Feeling'.

Ni kibao ambacho kimetolea  siku ya JUmanne Julai 6,na inazungumzia kuusu hadhithi ya ukweli.

Pia kinazungumzia msichana wa chuo kikuu ambaye  ameokoka na amempenda mwanamume ambaye hajaokoa kwa hivyo mapenzi yao yanakuwa na shida.

Je kulingana na maoni yako kibao hicho kimeweza au hakijaweza?

Hii hapa video ya kibao hicho;

This is a song that describes a conflict between emotion and societal conditioning. In this video, a saved college girl is conflicted between her love for a man and the fact that he is not born again. FEELING is inspired by several true stories including that of Nameless and Wahu at the beginning of their courtship. The entire video is shot at the University of Nairobi, which is where their relationship began and grew. Nameless and Wahu perform on the helipad of the newly built University of Nairobi Towers, which reveals the breathtaking Nairobi CBD skyline and its environs. Other shoot locations include the ADD library and studios and student accommodation rooms. SMS : SKIZA 7301764 to 811 to download Feeling as your Skiza tune. Stream/Download: https://smartklix.com/Feeling Connect with us: IG Wahu:https://www.instagram.com/wahukagwi/?hl=en IG Nameless:https://www.instagram.com/namelesskenya/?hl=en All our music: https://youtube.com/playlistlist=PLL2zwJkL5XWrXvzKozzfDpat7MWUI0utM This Love Highlights: https://youtube.com/playlist?list=PLL2zwJkL5XWrIoJay0SBrvCIOqiCbgmxh FEELING song Audio credits: Performed by Nameless and Wahu Written by: Birech, Brandon Israel, David Mathenge. Music Directed and produced by: Cedric "CEDO" Kadenyi Recorded and Mixed by: Dennis "Denno" Papa. Mastered by: Lucas "Ogopa" Bikedo. Executive producers: Nameless and Wahu. Video credits: Directed by: Monski Cinematography: Enos Olik Produced by: Shakira Nassali and Faudi Mbigi Logistics: Slahver of Blackwings PR. Styling: Brian Babu. Choreography by: The Dance General. Dancers: Kabaya, Ade, Ayomar, Ruth Story Cast : Dance General, Joisij Smile, Dilancy Cindy Roxie, Shariz Riziki, and Bevdassah. Makeup up by: Miss Wairimu. 1st AC Fred Warui. Location: University of Nairobi. Rooftop Bedroom Set Up: Dr. Mattress Project Guided by N-zone #Feeling #Wahu #Nameless #TheMz