Tazama picha za kipekee za muigizaji Silprosa anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa

Muhtasari
  • Tazama picha za kipekee za muigizaji Silprosa anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa
Sandra Dacha
Image: HIsani

Muigizaji Sandra Dacha maarufu Silprosa, hii leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, huku akihitimu mika 31.

KUpitia kwenye ukiurasa wake wa instagram muigizaji huyo alipakia picha za kuyeyusha wanaume mate na kuandika jumbe za kipekee.

"Leo tunasherehekea sio siku tu ya kuzaliwa  ya staa bali, bali tunashereheka kuzaliwa kwa staa," Aliandika Silprosa.

Muigizaji huyo alifahamika sana kupitia kwenye kipindi cha Auntie Boss ambapo aliigiza kama mfanyakazi wa nyumba.

Ni msanii ambaye amekuwa na ujasiri huku akiwashauri mashabiki wake kwa njia moja au nyingine.

Hizi hapa baadhi ya picha zake'