Orodha ya watoto wa watu mashuhuri wenye maridadi zaidi nchini kenya 2021

Muhtasari
  • Orodha ya watoto wa watu mashuhuri wenye maridadi zaidi nchini kenya 2021
Ricca Pokot
Image: instagram

Linapokuja suala la mitindo na kuwa maridadi, umri haujalishi. Mtu bado anaweza kujipanga kwa viwango vyao, na hata kutoa malengo ya mitindo shukrani kwa hiari ya tasnia ya mitindo.

Tunaangalia watoto wazuri zaidi wa watu mashuhuri ambao hutikisa na mitindo yao ya kushangaza mnamo 2021.

Sio watoto wanaovaa vizuri tu lakini watoto wazuri na maridadi wanaendesha mitindo hizi za Kenya kwa muda sasa.

Watoto hao ni kama vile wafuatao;

1.Ricca Pokot

Ni mwanawe mcheza santuri DJ Pierra Makena ambaye kwa mitindo ya mavazi  huwavutia na kupendeza wengi.

2.Ladasha Wambo

Ni mwanawe msanii wa nyimbo za injili Size 8 na mcheza santuri  DJ Mo mabaye amekuwa akiwafurahisha mashabiki.

3.Heaven Bahati na Mueni Bahati

Ni watoto wake msanii Bahati ambo ni mrembo kupindukia na wenye mitindo ya kisasa.