Picha ya siku:Tazama picha ya msanii Trio Mio na Harmonize wakiwa pamoja

Muhtasari
  • Tazama picha ya msanii Triomio na msanii wa Tanzania Harmonize wakiwa pamoja
Image: Instagram

Msanii chipukizi wa Kwnya Triomio, amekuwa akivuma siku baada ya siku baada ya kutoa vibao ambavyo vilipendwa sana na mashabiki.

Vibao vyake vuimekuwa vikivuma sana kwenye mitandao ya kijamii ya youtube.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha aiwa na msanii wa nyimbo za bongo Flava kutoka Tanzania Harmonize.

Alipata likizo kubwa mwaka jana baada ya shule kufungwa kwa ajili ya janga la corona, huku akitoa kibao baada ya kingine.

Baada ya kupakia video hiyo aliandika ujumbe huu;

"Je upo tayari kwa hili 🔥 Jeshi X Mkurugenzi," Aliandika Triomio.

Je kama watafanya collabo, itaweza au haitaweza? 

Hizi hapa baadi ya hisia za mashabiki;

_tony_blondy_: 🔥🔥🔥🔥🔥go go bro

drummdrew: Harmonize ...mbwakni😢😂😂😂😂

richidlerkenya: King king🙌

254vibes.1: Mkurugenzi mbna Uko shule? Wachana na masomo

Hii hapa picha ya wawili hao;