(+video)Tazama kibao kipya cha Msanii wa nyimbo za injili Evelyn Wanjiru

Muhtasari
  • Tazama kibao kipya cha Msanii wa nyimbo za injili Evelyn Wanjiru
  • Wanjiru amekuwa mfano mwema kwa wasanii chipukizi wanaotaka kujitosa kwenye tasnia ya muziki wa injili
Evelyn Wanjiru
Image: Evelyn Wanjiru/INSTAGRAM

Tunapozungumzia wasanii wa nyimbo za injili walioinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine licha ya changamoto katika tasnia ya muziki wa injili, hatuwezi kumsahau msanii Evelyn Wanjiru.

Wanjiru amekuwa mfano mwema kwa wasanii chipukizi wanaotaka kujitosa kwenye tasnia ya muziki wa injili.

Ni mwaka mpya ambao watu wengi wanatazamia kufanya mengi, huku wasanii tofauti wakijikakamua ili kutoa kibao kimoja baada ya kingine.

Haya basi bila shaka Wanjiru ameanza mwaka mpya  kwa njia ya kipekee kwa kutoa kibao kipya kinachofahamika kama 'mwanga'.

Ni kibao ambacho kimepokelewa vyema na mashabiki, kwani kina watazamaji zaidi ya elfu 23 ndani ya siku tatu.

Hii hapa video ya kibao hicho, na kina mafunzo muhimu kwa mashabiki na wakristo wote;

Stream Mwanga album https://evelynwanjiru.lnk.to/mwangaalbum Subscribe ⇢ https://evelynwanjiru.lnk.to/youtube Become a member to my channel https://bit.ly/3pJfCej Skiza Code 9864978 Artist: Evelyn Wanjiru Song : Mwanga(Light) Album:Mwanga Audio: Bwenieve Video: Bwenieve Films Recorded live at C.U.E.A L.R.C Auditorium. Connect with Evelyn: Website: https://www.evelynwanjiru.com/ Facebook:https://www.facebook.com/EvelynWanjiru.A/ Instagram:https://www.instagram.com/evelynwanjiru_a/ twitter:https://twitter.com/evelynwanjiru_a Evelyn Wanjiru App: http://bit.ly/2prOssS Evelyn Wanjiru App: http://bit.ly/2prOssS #EvelynWanjiru