'Wewe ni mwamba wangu,'Mashirima Kapombe asherehekea siku ya kuzaliwa ya mama yake

Muhtasari
  • Kupitia kwenye ukutasa wake wa instagram Mashirima amesherehekea siku ya kuzaliwa ya mama yake

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Mashirima Kapombe ni mmoja wa wanahabari ambao wanasherehekewa sana na wanamitandao.

Mashirima anafahamika sana kwa bidii ya kazi yake ya utangazaji.

Kupitia kwenye ukutasa wake wa instagram Mashirima amesherehekea siku ya kuzaliwa ya mama yake kwa njia ya kipekee huku akimwambia kwamba yeye ndiye mwamba wake.

"Happy birthday mum @angelakapombe mwamba wangu, mpeni wanguNakupenda sana sana sana," Aliandika Mashirima.

Mashabiki pia walimtakia mama yake Mashirima heri njema ya kuzaliwa na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

jonathan.odongo: You look twice 😊. Happy birthday to mom!

salmamwaropo: Happy birthday shangazi langu mie pekee yangu😍😍😍😍

halfbonehalfman: Long life with successfully for ur mom happy birthday to her πŸŽ‚

meshachowuor254: Happy birthday Kwa Mama congratulations πŸŽ‰ to her More blessings years ahead πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯