(Video) Arap Uria - Kutana na mwalimu aliyebadili taalum na sasa ni msanii

Arap Uria anajulikana sana kwa ustadi wake kuiga mtangazaji wa kimataifa wa soka Peter Drury