Wanamitandao watoa hisia mseto baada ya Bahati kupakia picha akiwa na mwanawe kwenye 'pool'

Aidha wengine waliuliza ama maji hayo yalikuwa moto ili aweze kuwa kwenye maji hayo.

Muhtasari
  • Msanii huyo alizua hisia mseto kutoka kwa wanamitandao baada ya kupakia picha akiwa na mwanawe kwenye pool
BAHATI NA MWANAWE MALAIKA
Image: BAHATI/INSTAGRAM

Bahati ni mwanamuziki maarufu nchini ambaye anajulikana kutokana na bidii ya kazi yake.

Mwaka jana Bahati alibarikiwa na mtoto wa kike ambaye anafahamika kama Malaika.

Msanii huyo alizua hisia mseto kutoka kwa wanamitandao baada ya kupakia picha akiwa na mwanawe huyo kwenye pool.

Baadhi ya wanamitandao walimkejeli Bahati huku wakidai mwanawe ni mchanga kukuwa kwenye maji ya pool.

Aidha wengine waliuliza kama maji hayo yalikuwa moto ili aweze kuwa ndani yake.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;

careymilley: Mimi nashangaa mtoto mdogo anashinda kwenye pool kwa muda gani ama ilikuwa kupiga picha tu tuongee.....😂nikidhani maji sio baridi

marbywairimumwangi: Moto WA miezi asha ingia swimming mm huionea Kwa tv ,mombasa nayo ninyamaze tu

rose_mwangii: And there I am ..Wangu ako over 3yrs sijawahi mpeleka ata swimming aty atapata homa😂😂😂😂You guys look lovely❤️

simao_: mao"Nashindwa na Mali Sina oooh,ningekuoa malaika" ...just singing 😅

sheilagiteta: Watoto wa Tajiri nayo hata homa hawapatangi? Juu hiyo maji weeeh..

kabwe.audreyIs:  it very hot there that you can deep a 2months old baby in cold water.thats a baby for Gods sake