Bwanake marehemu Janet Kanini asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa ujumbe mtamu

george ikua janet kanini
george ikua janet kanini

Hapo jana mkewe marehemu Bob Collymore, bi Wambui Kamiru alisherehekea siku ya mumewe ya kuzaliwa. Kupitia mtandao wa Twitter, Kamiru aliendela kumsherehekea mumewe akisema, imekuwa miezi sita, siku 13 na masaa tangia mara ya mwisho alipomuona mumewe Bob Collymore.

Hii leo, George Ikua anasherehekea siku ya kuzaliwa ya marehemu mkewe, Janet Kanini ambaye aliaga mnamo Aprili 1, 2017.

Ikua kupitia mtandao wake wa Facebook, alisimulia jinsi bado familia yake inazidi kumkumbuka kwa upendo mwingi kwa kugusa maisha yao.

Aliandika,

Happy Birthday Janee! From us all ....'tis with fond memories and smiles that we relive your memories....that you swung by this blue rock and chose our lives to walk in...keep dancing with the angels....

George pia aliandika jinsi, wanao wanavyosherehekea siku hii huku wakifurahia uwezekano kuwa watapata fursa ya kula keki.

kids only asked whether this now means there will be cake😂 You are truly warmly and fondly remembered.
 
Marafiki zake na wakenya wengi waliungana na George kumkumbuka na kumsherehekea Janet ambaye alikuwa mwanahabari na runinga ya NTV.
Ann: Happy birthday Janet continue resting well
Suzanne: Fondly remembered with love🥰😍
Juliana Muiva: Miss you. No words to express this. But I bet you are having a blast in heaven. We are well. It is well
Francis Mbugua: Happy birthday🎊 memories are with us
Caroline Wangari: Ooh how sweet Janet will forever remain in our hearts